The State University Of Zanzibar

Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kimepokea mtaalamu atakayefundisha elimu ya sayansi ya michezo kwa ajili ya kuimarisha sekta hiyo katika Chuo hicho. Akizungumza na mtaalamu huyo, Yutaka Ide anatokea Hiroshima nchini Japani, mazungumzo yaliyofanyika makao makuu ya SUZA Tunguu mkoa wa Kusini Unguja, Makamo Mkuu wa Chuo hicho, Prof. Moh’d Makame Haji alisema
Read More
Call for One PhD Scholarship position on marine coastal ecosystem restoration (seagrasses) using integrated approach under the Building Stronger Universities Project (BSU-IV) at The State University of Zanzibar Re-advertised Project Outline The Danish Ministry of Foreign Affairs has granted full support to the fourth phase of the BuildingStronger Universities project (BSU-IV) at the State University
Read More
Zanzibar – In an inspiring move to deepen its connection with the local community, the State University of Zanzibar (SUZA) has urged stakeholders to actively engage in its transformative Building Stronger University (BSU4) project. During a dynamic stakeholder meeting at Golden Tulip Airport Hotel in Kiembe Samaki, SUZA’s Vice Chancellor, Prof. Moh’d Makame Haji, highlighted
Read More
Wananchi kadhaa waliotembelea banda la maonesho ya Chakula yanayoendelea huko Chamanangwe mkoa wa Kusini Pemba wamevutiwa na utaalamu uliobuniwa na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Taifa zanzibar (SUZA). Miongoni  mwa jambo lililowavutia wengi na kuwa watulivu kupokea maelezo kutoka kwa mtaalamu aliyebuni teknolojia hiyo  Khamis Said Moh’d, mwanafunzi aliyemaliza Shahada ya Usimamizi wa Teknolojia ya
Read More
Makamo Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA), Prof. Moh’d Makame Haji amefanya mazungumzo na ujumbe kutoka Shirika la Maendeleo la UNDP kuhusiana kuendeleza ushirikiano uliopo baina ya taasisi hizo. Mazungumzo hayo ambayo pia yaliwashirikisha watendaji wa UNDP yalifanyika leo 23/09/2024 katika Ofisi za makao makuu SUZA Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja, ambapo
Read More
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Raisi, Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora, Mhe. Haroun Ali Suleiman, amewahimiza walimu kuzingatia uzalendo, uadilifu, na utii katika kazi zao ili kuboresha sekta ya elimu Zanzibar. Akizungumza katika ufunguzi wa Kongamano la Kitaaluma la kuadhimisha Miaka 60 ya Elimu Bila Malipo lililofanyika Maruhubi, Mkoa wa Mjini Unguja, Mhe. Haroun
Read More
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali itaendelea kuunga mkono juhudi za taasisi za kitaaluma za kimataifa zinazoonesha dhamira ya kushirikiana na Zanzibar kuijengea uwezo wa kielimu katika nyanja mbalimbali. Dk.Mwinyi ameyasema hayo leo tarehe 13 Sept 2024 alipokutana na Mkuu wa Chuo kikuu cha Imperial cha Uingereza
Read More
1 7 8 9 10 11 12