Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Prof. Mohd Makame Haji, ameshiriki kama Mgeni Mualikwa katika hafla ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Wanafunzi Wauguzi Tanzania (UNSATA) uliofanyika leo tarehe 10 Mei 2025, katika Ukumbi wa Dkt. Shein, Tunguu, Mkoa wa Kusini Unguja. Mkutano huo umejumuisha wanafunzi wa Shahada yaRead More