The State University Of Zanzibar

Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kupitia wanafunzi wake wanawapatia elimu ya Kilimo wanavijiji wanaowazunguka kwa lengo la kuimarisha sekta hiyo na kukabiliana na changamoto zinazowakabili. Hayo yalisemwa na Bwana Ali Moh’d Ali ambaye ni mkufunzi wa Skuli ya Kilimo SUZA akiwa katika viwanja vya Maonesho ya Nane Nane yanayoendelea katika viwanja vya Kizimbani,
Read More
Akizungumza katika mkutano na viongozi wa serikali za wanafunzi wa vyuo na vyuo vikuu katika ukumbi wa mikutano Tunguu amesema kuwa, vijana Wana Kila sababu ya kuendeleza falsafa zilizoachwa na waasisi ikiwemo ukombozi wa watu na jitihada za kuleta maendeleo. Amesema kuwa lengo la mkutano huo ni kutoa taarifa kuhusu kongamano la Kigoda cha Taaluma
Read More
Mke wa Rais wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mama Maryam Mwinyi leo amezindua maonesho ya Vijana ya Biashara na Uwekezaji katika viwanja vya makao makuu ya Chuo Kikuu cha Taifa cha SUZA, Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja. Maonesho hayo yalifanyika tarehe 10/08/2025 huandaliwa mahususi kwa ajili ya kuwajengea uwezo vijana
Read More
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA), Prof. Moh’d Makame Haji, ametoa wito kwa wataalamu wa ndani kujenga imani binafsi na kutumia maarifa yao kwa tija, akisisitiza kuwa ujasiri wa kitaaluma ni msingi wa maendeleo endelevu ya taifa. Akizungumza katika warsha ya Maendeleo ya Maabara ya Usanifu wa Vinasaba iliyofanyika katika Skuli
Read More
Uongozi wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar wakagua maendeleo ya ujenzi wa ukuta wa Kampasi ya Benjamin William Mkapa iliyopo Mchangamdogo, Wilaya ya Wete Kisiwani Pemba.Akikagua ujenzi huo Makamu Mkuu wa Chuo Prof. Moh’d Makame Haji amesema lengo la ujenzi huo ni kuangalia maendeleo ya kazi ya ujenzi inayoendelea Prof. Haji amesisitiza kuwa ujenzi
Read More
Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kimesaini HAti ya Mashirikiano na Taasisi ya African Peer Review Mechanism (APRM)-Tanzania. Mkataba huo umesainiwa na Profesa Mohd Makame Haji, Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kwa upande wa SUZA na Ndg. Lamau August Mpolo, Katibu Mtendaji wa Taasisi ya APRM Tanzania katika hafla
Read More
MAKAMU Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA), Prof. Moh’d Makame Haji, amesema SUZA kinaendelea kujipanga kutanua wigo ili kuwa Chuo kinachoongoza kwa kutoa taaluma bora katika nchi za kiafrika. Akizungumza na ujumbe watu sita kutoka katika kituo cha Uchapishaji  wa Vitabu cha Qunyan cha  China kilichoko chini ya  Chuo Kikuu cha Zhejiang Normal University 
Read More
Leo tarehe 13 Julai 2025, Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) yamefikia tamati katika Viwanja vya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere vilivyopo barabara ya Kilwa, Dar es Salaam. Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kilikuwa miongoni mwa taasisi zilizoshiriki kikamilifu katika maonesho hayo ya siku kumi na nne, yakilenga kuonesha bidhaa, huduma na
Read More
Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar kitashiriki Wiki ya Maonesho ya Sita ya Elimu ya Juu yanayoandaliwa na Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar. Karibu utembelee banda letu kwa kupata hufuma mbalimbali kama vile udahili wa wanafunzi wapya kwa mwaka wa masomo 2025/2026, ushauri wa kuchagua programu, kuona mifumo mbali mbali iliyoandaliwa na
Read More
1 2 3 12