Previous Next Makamo Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA), Prof. Moh’d Makame Haji amefanya mazungumzo na ujumbe kutoka Shirika la Maendeleo la UNDP kuhusiana kuendeleza ushirikiano uliopo baina ya taasisi hizo. Mazungumzo hayo ambayo pia yaliwashirikisha watendaji wa UNDP yalifanyika leo 23/09/2024 katika Ofisi za makao makuu SUZA Tunguu Mkoa wa Kusini...Read More
Previous Next Waziri wa Nchi, Ofisi ya Raisi, Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora, Mhe. Haroun Ali Suleiman, amewahimiza walimu kuzingatia uzalendo, uadilifu, na utii katika kazi zao ili kuboresha sekta ya elimu Zanzibar. Akizungumza katika ufunguzi wa Kongamano la Kitaaluma la kuadhimisha Miaka 60 ya Elimu Bila Malipo lililofanyika Maruhubi, Mkoa wa Mjini Unguja,...Read More
Previous Next Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali itaendelea kuunga mkono juhudi za taasisi za kitaaluma za kimataifa zinazoonesha dhamira ya kushirikiana na Zanzibar kuijengea uwezo wa kielimu katika nyanja mbalimbali. Dk.Mwinyi ameyasema hayo leo tarehe 13 Sept 2024 alipokutana na Mkuu wa Chuo kikuu cha Imperial...Read More
Previous Next Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, Mhe. Leila Muhammed Mussa, amesemateknolojia ya kisasa itaongeza kasi ya upatikanaji wa elimu kwa watu wenye mahitaji maalum nchini. Hayo aliyasema katika ufunguzi wa semina ya siku tatu iliyoanza leo tarehe 09/09/20024 katika Kampasi ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) huko Maruhubi. Katika semina hiyo...Read More
Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar kinapenda kuutaarifu umma kuwa kimetoa orodha ya Majina ya waliochaguliwa kujiunga na masomo awamu ya kwanza kwa ngazi ya Cheti, Stashahada na Shahada ya Kwanza kwa mwaka wa masomo 2024/2025 kwa programu mbali mbali kama zinavyojionesha hapo chini. Chuo pia kinapenda kuwataarifu waombaji wote waliochaguliwa kuwa, wahakikishe wanaingia katika...Read More
Call for One PhD Scholarship position on marine coastal ecosystem restoration (seagrasses) using integrated approach under the Building Stronger Universities Project (BSU-IV) at The State University of Zanzibar Re-advertised Project Outline The Danish Ministry of Foreign Affairs has granted full support to the fourth phase of the BuildingStronger Universities project (BSU-IV) at the State University...Read More
Previous Next Na Mwandishi Wetu, SUZA Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Taaluma ya Asia- Magharibi na Afrika ya China Prof. Wang Xiaoming amesema wanafurahia umashuhuri Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) kutokana na mipango yake madhubuti ya uendeshaji na uzalishaji wataalamu wa ndani na nje ya nchi. Akizungumza katika kikao cha pamoja kilichofanyika huko...Read More