Wanafunzi 15 kutoka Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) wamepata fursa adhimu ya kushiriki katika programu ya kimataifa ya kubadilishana Ujuzi (Erasmus Mobility Programme) kati ya SUZA na Chuo Kikuu cha Oradea kilichopo nchini Romania. Programu hiyo inaendeshwa kwa lengo la kukuza ushirikiano wa kitaaluma na kijamii kati ya vyuo vikuu vya Afrika naRead More