Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kimedhamiria kuanzisha mashirikiano na Chuo Kikuu cha Osaka nchini Japan yenye lengo la kukuza mashusiano kwenye Taaluma, Tafiti na kubadilishana wataalamu na wanafunzi kwenye maeneo ya lugha, utamaduni na afya. Haya yamesemwa na Makamu Mkuu wa SUZA Prof. Moh’d Makame Haji alipofanya mazungumzo na Mwakilishi kutoka Chuo KikuuRead More