The State University Of Zanzibar

Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA), Dk. Hashim Hamza Chande SUZA imetoa shukurani kwa kupata heshima kuchaguliwa kuwa ni mahala pa kutolewa mhadhara wa masuala ya anga. Hayo aliyasema wakati akimkaribisha mtaalamu ambaye ni Mjumbe wa Bodi ya Omani Space Astronomical Society, Bw. Abdulwahab Suleiman AlBusaid aliyefika nchini kwa ajili
Read More