The State University Of Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein  Mwinyi ametembelea banda la maonesho la Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) lililoonesha huduma mbali mbali zinazotolewa na taasisi za Chuo hiki. Dk. Mwinyi  alipewa maelezo ya shughuli zinazotekelezwa na SUZA ikiwa ni pamoja na masuala ya afya ya binadamu na wanyama, ujasiriamali,
Read More