Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar kinapenda kuutaarifu umma kuwa kimetoa orodha ya Majina ya waliochaguliwa kujiunga na masomo awamu ya pili kwa ngazi ya cheti, diploma na degree kwa mwaka wa masomo 2024/2025 kwa program mbali mbali kama zinavyojionesha hapo chini. Chuo pia kinapenda kuwataarifu waombaji wote waliochaguliwa kuwa, wahakikishe wanaingia katika akaunti zao...Read More
Previous Next Makamo Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA), Prof. Moh’d Makame Haji amefanya mazungumzo na ujumbe kutoka Shirika la Maendeleo la UNDP kuhusiana kuendeleza ushirikiano uliopo baina ya taasisi hizo. Mazungumzo hayo ambayo pia yaliwashirikisha watendaji wa UNDP yalifanyika leo 23/09/2024 katika Ofisi za makao makuu SUZA Tunguu Mkoa wa Kusini...Read More
Previous Next Waziri wa Waziri wa Nchi (OR) Katiba, Sheria na Utumishi wa na Utawala Bora, Mwalim Haroun Ali Suleiman, ametoa wito kwa Taasisi za Elimu za Zanzibar kufanya tafiti nyingi zenye matokeo yatakayoleta mabadiliko kwa maendeleo ya jamii. Akifungua Kongamano la Kitaaluma la kuelekea kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Malipo Zanzibar lililofanyika katika...Read More
Previous Next Waziri wa Nchi, Ofisi ya Raisi, Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora, Mhe. Haroun Ali Suleiman, amewahimiza walimu kuzingatia uzalendo, uadilifu, na utii katika kazi zao ili kuboresha sekta ya elimu Zanzibar. Akizungumza katika ufunguzi wa Kongamano la Kitaaluma la kuadhimisha Miaka 60 ya Elimu Bila Malipo lililofanyika Maruhubi, Mkoa wa Mjini Unguja,...Read More
WAZIRI wa Nchi Afisi ya Rais Kazi, Uchumi na Uwekezaji, Mhe. Sharif Ali Sharif ametoa wito kwa Taasisi za Elimu Zanzibar kuendeleza vipaji vya wanafunzi kuanzia maandalizi hadi sekondari. Alisema hatua hiyo itachangia kuwawezesha kuwa mahiri na wabunifu katika fani mbalimbali kulingana na mazingira wanayotokea. Akizungumza katika sherehe ya maadhimisho ya miaka 60 ya Elimu...Read More
Previous Next Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, Mhe. Leila Muhammed Mussa, amesemateknolojia ya kisasa itaongeza kasi ya upatikanaji wa elimu kwa watu wenye mahitaji maalum nchini. Hayo aliyasema katika ufunguzi wa semina ya siku tatu iliyoanza leo tarehe 09/09/20024 katika Kampasi ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) huko Maruhubi. Katika semina hiyo...Read More