Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Ndg. Khalid Masoud Waziri amewataka waandishi wa habari nchini kufanyakazi kwa weledi na ubunifu mkubwa ili kuondoa dhana potofu kwa baadhi ya watu wanaona kazi ya uandishi inaweza kufanywa hata na watu wasiokuwa na taaluma. Akizungumza kwa niaba ya Waziri wa Elimu na MafunzoRead More