Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kimefanya mazungumzo na Taasisi ya Sayansi za Hisabati ya Afrika (African Institute for Mathematical Sciences – AIMS) tawi la Rwanda, yakilenga kuimarisha ushirikiano baina ya taasisi hizo mbili katika Nyanja mbalimbali, hususan ufundishaji wa masomo ya Sayansi na Hisabati. Mazungumzo hayo, yaliyofanyika tarehe 29 Aprili 2025 katika ofisiza makao makuuRead More