The State University Of Zanzibar

Naibu Waziri wa Fedha wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mhe. Hamad Hassan Chande ameonya tafiti zinazofanywa na wahitimu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar kufungiwa makabatini.Hayo aliyasema wakati akifungua kilele cha Wiki ya Juma la Convocation kilichofanyika katika ukumbi ya Taasisi ya Utalii, kampasi ya Chuo Kikuu Maruhubi tarehe 22/12/2024.Alisema iwapo
Read More
Mwenyekiti wa Kamati ya Mkusanyiko Kitaalamu (Convocation) Mhe. Riziki Juma Pembe amezindua rasmi Kamati za Mkusanyiko huo zilizowashirikisha wajumbe 14 ambapo mwengine anatarajiwa kutajwa hivi karibuni.Akizungumza katika mkutano huo wa pili wa mwaka wa Mkusanyiko huo uliofanyika katika Kampasi ya Chuo Kikuu cha Zanzibar (SUZA) ya Taasisi ya Utalii, Maruhubi tarehe 22/12/2024 alizitaja Kamati hizo
Read More
Hhini ya Mradii wa Youth Ignit unaosimamiwa na Starthub African unaofadhiliwa wa UNDP ambalo limeshirikisha vyuo 10 nchini Tanzania ikishirikisha jumla ya wanafunzi 30. Mshindi wa kwanza ni mwanafunzi William Frank kutoka Skuli ya Kompyuta Mawasiliano na Masomo ya Habari akiwa na wazo la Kibenki Fintech inayosaidia wafanyakazi wa hali ya chini kupata sehemu ya
Read More
Kamati ya Bajeti ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar imeambatana na uongozi wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar katika ziara maalum iliyofanywa leo tarehe 18 Novemba, 2024 katika Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) kilichopo Mkoa wa Mbeya, ili kujifunza kuhusu utekelezaji wa Mradi wa Higher Education for Economic Transformation (HEET). Ziara hii
Read More
The State University of Zanzibar (SUZA) met with a delegation from the International Union for Conservation of  Nature (IUCN) and the OCP Foundation to discuss how they can collaborate in areas of mutual interest that they are working on. The institutions met on November 14, 2024, at SUZA’s headquarters in Tunguu, South Unguja, where they
Read More
Kongamano la Kimataifa la Kiswahili limefanyika katika mji wa Havana, nchini Kuba, tarehe 8 na 9 Novemba, 2024. Kongamano hili limehusisha wataalamu na wadau wa Kiswahili kutoka Tanzania na nje ya Tanzania pamoja na wenyeji wa Kuba. Jopo kutoka Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) likiongozwa na Makamu Mkuu wa Chuo, Profesa Moh’d Makame
Read More
Waziri wa Mambo ya nje wa Jamhuri ya Kuba Mhe. Bruno Rodriguez Parrilla(Kushoto) na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar Prof. Moh’d Makame Haji wakizindua kitabu cha kujifunza kihispania kwa Kiswahili toleo la kwanza katika kongamano la kimataifa la kiswahili Novemba 8, 2024 Havana nchini Kuba. Kitabu hicho kilichozinduliwa ni cha Chuo
Read More
CHUO Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) na Kampuni ya Ujenzi ya Mohammed Builders Limited zimetiliana saini mkataba wa ujenzi wa majengo mawili ya Skuli ya Kilimo na Maabara unasimamiwa na Mpangosi. Tukio hilo lililofanyika tarehe (4/11/2024) katika ofisi za Makao makuu ya SUZA Kampasi ya Tunguu, Mkoa wa Kusini Unguja, limewashirikisha Makamu Mkuu wa
Read More
Deepening Educational and Cultural TiesState University of Zanzibar (SUZA) Vice Chancellor, Prof. Moh’d Makame Haji, led a high-level delegation to China to further strengthen educational and cultural ties between the two nations. The delegation included representatives from Zanzibar University, Leera School, and other key stakeholders from the public and private sectors. A primary focus of
Read More
1 4 5 6 7 8 10