VIONGOZI wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) na Chuo Kikuu cha Bahari cha Dar es Salaam wamesaini hati ya makubaliano kuongeza ushirikiano wa kitaaluma ya kutoa mafunzo ya ubaharia. Utiaji saini huo ulifanyika kwenye ofisi za Makao Makuu ya SUZA yaliyoko Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja tarehe 26/06/2025 ambao uliwashirikisha wadau, watendaji naRead More
WADAU kutoka taasisi zinazoshughulikia masuala ya bahari Tanzania wamepitia rasimu ya mtaala wa mafunzo ya usalama wa bahari ili kuwawezesha kuitumia rasilimali hiyo kwa maendeleo endelevu. Akifungua kikao kilichofanyika makao makuu ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) tarehe 24/06/2025, Makamu Mkuu wa chuo hiki alisema hatua hii ni muhimu kufanyiwa kazi ipasavyo kwaniRead More
Osaka, Japani — 1 Julai 2025Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kimejitokeza kwa fahari kubwa kushiriki rasmi katika uzinduzi wa Juma la Kiswahili na Utamaduni uliofanyika jijini Osaka, Japani, ikiwa ni sehemu ya Tamasha la Kibiashara la Kimataifa la Osaka 2025. Akizungumza katika hafla hiyo ya uzinduzi, Makamu Mkuu wa SUZA, Profesa Mohamed MakameRead More
Ujenzi wa jengo la Skuli ya Kilimo (Agriculture Building) na la Maabara (Laboratory Complex) wa mradi wa Elimu ya Juu kwa Mabadiliko ya Kiuchumi (HEET) umefikia asilimia 33 hadi mwezi huu wa tano. Taarifa hiyo imetolewa leo katika kikao cha tathmini ya ujenzi (Site Meeting) kimefanyika leo tarehe 28/05/2025 Makao makuu ya Chuo Tunguu. Aidha,Read More
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA), Prof Moh’d Makame Haji amehudhuria kikao cha Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kilichojadili Hutuba ya Bajeti ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum kwa mwaka wa fedha 2025/2026 iliyowasilishwa tarehe 27 Mei, 2025 katika Ukumbi wa Bunge, Dodoma kwaRead More
Dkt. Hashim Hamza Chande, ameonesha kutoridhishwa na uzembe wa baadhi ya watendaji wa Idara ya Manunuzi na Ugavi kufuatia ucheleweshaji wa utekelezaji wa miradi chuoni. Dkt. Chande alitoa kauli hiyo baada ya kukagua baadhi ya maeneo ya Skuli ya Afya yaliyoonekana kutoendelezwa. Alielezwa kuwa ucheleweshaji huo unasababishwa na changamoto za manunuzi na urasimu wa kiutendaji.Read More
The visit aimed to establish academic collaboration between the two institutions. SUZA Vice Chancellor, Prof. Moh’d Makame Haji, expressed his enthusiasm for the partnership, stating that it is an honor for SUZA to receive such a delegation. He emphasized on the university’s readiness to collaborate in various fields, particularly in health sciences. SUZA is planningRead More
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar, Prof. Moh’d Makame Haji, ambae pia ni Mjumbe wa Bodi ya Ushauri ya Chama cha Maafisa Rasilimaliwatu na Utawala wa mwaka 2025 alishiriki kikamilifu katika Mkutano Mkuu wa Nne wa Chama cha Maafisa Rasilimaliwatu na Utawala wa mwaka 2025 (4th Annual National Conference – 2025) uliofanyikaRead More
Fifteen students and five academic staff members from the State University of Zanzibar (SUZA) proudly represented Zanzibar and Tanzania during the prestigious Erasmus Mobility Programme, a collaborative exchange between SUZA, Oradea University and University of Arad in Romania. This initiative fosters academic and cultural ties between African and European institutions, promoting knowledge-sharing and international cooperation.Read More
Two talented students from the Institute of Tourism at Maruhubi Campus, last week represented the State University of Zanzibar (SUZA) at the prestigious Chinese Bridge World Chinese Language Competition in Dar es Salaam. Their outstanding performance earned them the Best Performance Award, marking a proud moment for SUZA and Zanzibar. The competition, known for its rigorous tests ofRead More