The State University Of Zanzibar

MAKAMU Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA), Prof. Moh’d Makame Haji amesisitiza kuwepo ushirikiano baina ya SUZA na Chuo Kikuu cha Amali cha Jiangsu cha China utakaoimarisha jitihada za serikali ya awamu ya nane chini ya uongozi wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Mwinyi. Aliyasema haya
Read More
Hargeisa, Somaliland – The University of Hargeisa, in collaboration with the Danida Fellowship Centre (DFC), successfully hosted the BSU IV Annual Meeting in Hargeisa on June 3rd, 2025. This three-day workshop brought together participants from Gulu University (Uganda), the State University of Zanzibar (SUZA), and the University of Hargeisa, alongside Danish universities, to strengthen research capacity,
Read More
VIONGOZI wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) na Chuo Kikuu cha Camerino (UNICAM) cha Italia wamejadiliana namna ya kuendeleza ushirikiano wa kitaaluma ili kuongeza kasi maendeleo kwenye nyanja ya elimu na kutoa wahitimu waliobobea kwenye program wanazotoa. Vyuo hivyo viwili vilitiliana saini mkataba wa ushirikiano mwaka 2019 katika taaluma kwa kubadilishana wanafunzi, kufanya
Read More
WADAU kutoka taasisi zinazoshughulikia masuala ya bahari Tanzania wamepitia rasimu ya mtaala wa mafunzo ya usalama wa bahari ili kuwawezesha kuitumia rasilimali hiyo kwa maendeleo endelevu. Akifungua kikao kilichofanyika makao makuu ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) tarehe 24/06/2025, Makamu Mkuu wa chuo hiki alisema hatua hii ni muhimu kufanyiwa kazi ipasavyo kwani
Read More
Osaka, Japani — 1 Julai 2025Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kimejitokeza kwa fahari kubwa kushiriki rasmi katika uzinduzi wa Juma la Kiswahili na Utamaduni uliofanyika jijini Osaka, Japani, ikiwa ni sehemu ya Tamasha la Kibiashara la Kimataifa la Osaka 2025. Akizungumza katika hafla hiyo ya uzinduzi, Makamu Mkuu wa SUZA, Profesa Mohamed Makame
Read More