The State University Of Zanzibar

Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar kitashiriki Wiki ya Maonesho ya Sita ya Elimu ya Juu

Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar kitashiriki Wiki ya Maonesho ya Sita ya Elimu ya Juu yanayoandaliwa na Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar. Karibu utembelee banda letu kwa kupata hufuma mbalimbali kama vile udahili wa wanafunzi wapya kwa mwaka wa masomo 2025/2026, ushauri wa kuchagua programu, kuona mifumo mbali mbali iliyoandaliwa na wanafunzi wetu. Maonesho haya yanatarajiwa kuanza 14-20/07/2025 katika viwanja vya mnazi mmoja Zanzibar