Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kimesaini HAti ya Mashirikiano na Taasisi ya African Peer Review Mechanism (APRM)-Tanzania. Mkataba huo umesainiwa na Profesa Mohd Makame Haji, Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kwa upande wa SUZA na Ndg. Lamau August Mpolo, Katibu Mtendaji wa Taasisi ya APRM Tanzania katika haflaRead More