The State University Of Zanzibar

Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar kitashiriki Wiki ya Maonesho ya Sita ya Elimu ya Juu yanayoandaliwa na Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar. Karibu utembelee banda letu kwa kupata hufuma mbalimbali kama vile udahili wa wanafunzi wapya kwa mwaka wa masomo 2025/2026, ushauri wa kuchagua programu, kuona mifumo mbali mbali iliyoandaliwa na
Read More
MWENYEKITI wa Baraza la Kiswahili Zanzibar, Bi Saade Said Mbarouk, amesema watanzania wana tunu adhimu ya kujivunia inayoendelea kuwaunganisha katika harakati zao zote za maisha, licha ya kuwepo makabila mengi na lugha zao. Akizungumza katika shamrashamra za maadhimisho ya Siku ya Kiswahili Duniani zilizofanyika kwenye kwenye kampasi ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA)
Read More