The State University Of Zanzibar

Naibu Makamu Mkuu anayeshughulikia masuala ya Fedha, Mipango na Utawala wa Chuo Kikuu cha taifa cha Zanzibar (SUZA), Dkt. Hashim Hamza Chande, ameushukuru Umoja wa Vyuo Vikuu vya Jumuia ya Madola (The Association of Common Wealth Universities – ACU) kwa mchango mkubwa wa kitaaluma inayoendelea kuitoa kwa SUZA. Akizungumza katika hafla fupi ya kumkaribisha Mkuu
Read More