Leo tarehe 13 Julai 2025, Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) yamefikia tamati katika Viwanja vya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere vilivyopo barabara ya Kilwa, Dar es Salaam. Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kilikuwa miongoni mwa taasisi zilizoshiriki kikamilifu katika maonesho hayo ya siku kumi na nne, yakilenga kuonesha bidhaa, huduma naRead More