Na Ali Abass, SUZA Jumuiya ya Wanafunzi Wenye Mahitaji Maalum katika Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA), SUZADISO, imefanya ziara maalum ya kuwatembelea wanafunzi wenye mahitaji maalum katika Skuli ya Elimu Mjumuisho ya Maandalizi na Msingi Jendele, Wilaya ya Kati, Mkoa wa Kusini Unguja. Ziara hiyo iliyofanyika Novemba 21, 2026, imelenga kuimarisha mshikamano, kubadilishanaRead More
Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA), kwa kushirikiana na Baraza la Sanaa, Sensa ya Filamu Zanzibar (BASSF), kinatarajia kuanzisha Skuli ya Sanaa itakayotoa elimu na mafunzo ya kitaaluma kwa wasanii, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuimarisha sekta ya sanaa, kuinua hadhi ya wasanii na kukuza mchango wa sanaa katika uchumi na maendeleo yaRead More
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mheshimiwa Othman Masoud Othman, amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itaendelea kuchukua hatua mbalimbali kuhakikisha wanafunzi wenye ulemavu wanapata haki na fursa sawa za kupata elimu nchini. Akizungumza wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Kimataifa la Elimu Jumuishi Zanzibar (ZIIES 2026), lililofanyika katika Hoteli ya Madinatul Bahar, Mbweni,Read More
Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA), kwa kushirikiana na Mfuko wa Bima ya Afya Zanzibar (ZHSF), kimeandaa bonanza maalumu la michezo kwa lengo la kuwahamasisha wanafunzi kujiunga na mfuko huo ili waweze kupata huduma za afya kwa urahisi na kupunguza gharama za matibabu wanapokabiliwa na changamoto za kiafya. Akizungumza mara baada ya kumalizika kwaRead More
Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kimeadhimisha miaka 90 ya kuzaliwa kwa Prof. Saleh Idris Muhammed, Makamu Mkuu wa Kwanza wa Chuo hicho, kupitia tukio maalumu la kumpongeza, kukata keki na kumkabidhi zawadi ya siku yake ya kuzaliwa, ikiwa ni sehemu ya kutambua na kuthamini mchango wake katika historia na maendeleo ya Chuo. TukioRead More
Na Mwandishi Wetu. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ, Mhe. Idrissa Kitwana Mustafa, amesema Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kimepiga hatua kubwa katika maendeleo ya elimu ya juu, si kwa Zanzibar pekee bali pia katika ukanda wa Afrika, kupitia mchango wake katikaRead More
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Hemed Suleiman Abdulla, amesema Afrika inahitaji kuwekeza katika tafiti za afya, ubunifu na matumizi ya akili unde (Artificial Intelligence) ili kupata suluhisho la changamoto zinazoikabili sekta hiyo na kuimarisha utoaji wa huduma za afya barani humo. Akizungumza kwa niaba yake, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu waRead More
Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA), anayeshughulikia Mipango, Fedha na Utawala, Prof. Jamal Jumanne Athuman, amesema ushirikiano baina ya Cuba na Tanzania umekuwa na mchango mkubwa katika kuimarisha sekta ya elimu nchini, hususan katika mafunzo ya kada za afya. Prof. Jamal ameyasema hayo wakati wa hafla ya kuwaaga walimu kutokaRead More
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA), Prof. Said Ali Hamad Vuai, amewataka wanafunzi wapya waliojiunga na Chuo hicho kwa mwaka wa masomo 2026/2027 kutumia ipasavyo rasilimali zinazopatikana chuoni ili kuimarisha ufaulu wao wa kitaaluma, ujifunzaji na utafiti. Prof. Vuai ameyasema hayo wakati wa Wiki ya Ukaribisho kwa Wanafunzi Wapya wa SUZA,Read More
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Dkt. Saada Mkuya Salum, amewataka wanafunzi wa vyuo vikuu Zanzibar kutambua wajibu wao katika kulinda maadili, kuheshimu utu wa wengine na kutokuvumilia vitendo vya ukatili wa kijinsia, akisisitiza kuwa masuala ya udhalilishaji hayana nafasi katika taasisi za elimu ya juu. Akizungumza katika kuhusu kuwajengea uelewaRead More