Skip to main content

The State University Of Zanzibar

Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA), anayeshughulikia Mipango, Fedha na Utawala, Prof. Jamal Jumanne Athuman, amewahimiza wahadhiri na wataalamu wa Chuo hicho kutumia utaalamu na weledi wao katika huduma za ushauri elekezi ili kuibua fursa mpya za kitaaluma, kiuchumi na maendeleo ya jamii. Prof. Jamal ameyasema hayo Septemba 23, 2026,
Read More
18 Septemba 2026 | Oradea, Romania Ujumbe wa Uongozi wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA), ukiongozwa na Makamu Mkuu wa Chuo, Prof. Said Ali Hamad Vuai, umeendelea na ziara ya kitaaluma katika Jiji la Oradea, Romania, kwa kutembelea Maktaba ya Umma ya Oradea pamoja na Makumbusho ya Oradea. Ziara hiyo imelenga kujifunza na
Read More
Zanzibar, Tanzania — The State University of Zanzibar (SUZA) has strengthened its collaboration with the Tanzania Resilience Academy following discussions with Prof. Niina Käyhkö from the Department of Geography and Geology at the University of Turku, Finland. Prof. Käyhkö, who represents the Resilience Academy in collaboration with SUZA, held discussions with the Deputy Vice Chancellor
Read More
17 Septemba 2026 | Oradea, Romania Ujumbe wa Uongozi wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA), unaoongozwa na Makamu Mkuu wa Chuo, Prof. Said Ali Hamad Vuai, umeendelea na ziara ya kitaaluma katika Chuo Kikuu cha Oradea, Romania, kwa kutembelea Faculty of Economics pamoja na Faculty of Medicine and Pharmacy. Ziara hiyo ni sehemu
Read More
16 Septemba 2026 | Oradea, Romania Ujumbe wa viongozi wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) unaoongozwa na Makamu Mkuu wa Chuo, Prof. Said Ali Hamad Vuai, umefanya ziara ya kitaaluma katika Chuo Kikuu cha Oradea, Romania, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuimarisha ushirikiano wa kimataifa, kubadilishana uzoefu na kujifunza mifumo bora ya
Read More
16 Septemba 2026 | Oradea, Romania Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA), Prof. Said Ali Hamad Vuai, leo ametembelea Skuli ya Uhandisi na Skuli ya Sayansi za Jamii katika Chuo Kikuu cha Oradea, Romania, ikiwa ni sehemu ya ziara za kitaaluma na kujifunza mifumo ya uendeshaji wa taasisi za elimu ya
Read More
TAARIFA YA KUONGEZEKA KWA NAFASI ZA UDAHILI DIRISHA LA PILI 2026 202 (1)Download
Read More
1 2 3