Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Dkt. Saada Mkuya Salum, amewataka wanafunzi wa vyuo vikuu Zanzibar kutambua wajibu wao katika kulinda maadili, kuheshimu utu wa wengine na kutokuvumilia vitendo vya ukatili wa kijinsia, akisisitiza kuwa masuala ya udhalilishaji hayana nafasi katika taasisi za elimu ya juu. Akizungumza katika kuhusu kuwajengea uelewaRead More