Skip to main content

The State University Of Zanzibar

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mheshimiwa Othman Masoud Othman, amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itaendelea kuchukua hatua mbalimbali kuhakikisha wanafunzi wenye ulemavu wanapata haki na fursa sawa za kupata elimu nchini. Akizungumza wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Kimataifa la Elimu Jumuishi Zanzibar (ZIIES 2026), lililofanyika katika Hoteli ya Madinatul Bahar, Mbweni,
Read More