Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Hemed Suleiman Abdulla, amesema Afrika inahitaji kuwekeza katika tafiti za afya, ubunifu na matumizi ya akili unde (Artificial Intelligence) ili kupata suluhisho la changamoto zinazoikabili sekta hiyo na kuimarisha utoaji wa huduma za afya barani humo. Akizungumza kwa niaba yake, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu waRead More
Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA), anayeshughulikia Mipango, Fedha na Utawala, Prof. Jamal Jumanne Athuman, amesema ushirikiano baina ya Cuba na Tanzania umekuwa na mchango mkubwa katika kuimarisha sekta ya elimu nchini, hususan katika mafunzo ya kada za afya. Prof. Jamal ameyasema hayo wakati wa hafla ya kuwaaga walimu kutokaRead More