Skip to main content

The State University Of Zanzibar

Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA), kwa kushirikiana na Baraza la Sanaa, Sensa ya Filamu Zanzibar (BASSF), kinatarajia kuanzisha Skuli ya Sanaa itakayotoa elimu na mafunzo ya kitaaluma kwa wasanii, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuimarisha sekta ya sanaa, kuinua hadhi ya wasanii na kukuza mchango wa sanaa katika uchumi na maendeleo ya
Read More