Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kimeadhimisha miaka 90 ya kuzaliwa kwa Prof. Saleh Idris Muhammed, Makamu Mkuu wa Kwanza wa Chuo hicho, kupitia tukio maalumu la kumpongeza, kukata keki na kumkabidhi zawadi ya siku yake ya kuzaliwa, ikiwa ni sehemu ya kutambua na kuthamini mchango wake katika historia na maendeleo ya Chuo. TukioRead More
Na Mwandishi Wetu. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ, Mhe. Idrissa Kitwana Mustafa, amesema Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kimepiga hatua kubwa katika maendeleo ya elimu ya juu, si kwa Zanzibar pekee bali pia katika ukanda wa Afrika, kupitia mchango wake katikaRead More