Skip to main content

The State University Of Zanzibar

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA), Prof. Said Ali Hamad Vuai, amewataka wanafunzi wapya waliojiunga na Chuo hicho kwa mwaka wa masomo 2026/2027 kutumia ipasavyo rasilimali zinazopatikana chuoni ili kuimarisha ufaulu wao wa kitaaluma, ujifunzaji na utafiti. Prof. Vuai ameyasema hayo wakati wa Wiki ya Ukaribisho kwa Wanafunzi Wapya wa SUZA,
Read More