Uongozi wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar umepokea wasilisho la michoro ya awali ya miundombinu mbalimbali inayotarajiwa kujengwa kupitia mradi wa BADEA kwa kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kutoka kwa mshauri elekezi Y&P Architects Co. Ltd.Miongoni mwa miundombinu hiyo ni Jengo la Utawala, Jengo la Skuli ya Elimu na Lugha, jengo la HudumaRead More
Zanzibar, May 4, 2026 – The State University of Zanzibar (SUZA) hosted delegates from the University of Minnesota (UOM) and Muhimbili University of Health and Allied Sciences (MUHAS) for a preparatory visit to discuss the launch of a Sexual and Reproductive Health (SRH) training program for medical and nursing students. The meeting, held at theRead More
Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Profesa Hamed R.H. Hikmany, amefanya ziara ya kikazi na kukutana na wafanyakazi wa Kurugenzi, Idara na Vitengo mbalimbali vya Chuo. Lengo kuu la ziara hii ni kujua majukumu na utekelezaji wa shughuli za kila siku za Chuo, pamoja na mafanikio na changamoto zinazoikabili SUZA.Read More
Mwenyekiti wa Kigoda cha Sheikh Abeid Amani Karume katika Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA), Prof. Eginald Mihanjo, amesema falsafa na urithi wa waasisi wa Taifa la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Sheikh Abeid Amani Karume na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, ni nguzo muhimu katika kulijenga Taifa na kulifikisha kwenye hatua za maendeleo. AmeelezaRead More
The Acting Vice Chancellor of The State University of Zanzibar (SUZA), Prof. Abdi T. Abdalla, participated in the 3rd China-Africa University Presidents Forum held in Jinhua, China, from 17th–19th April 2026 as part of the 70th Anniversary celebrations of Zhejiang Normal University. During the forum, Prof. Abdalla delivered a keynote speech titled “Advancing China-Africa AcademicRead More
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, ameweka jiwe la msingi wa majengo ya Maabara za Sayansi na Skuli ya Kilimo ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Tunguu, Mkoa wa Kusini Unguja ambapo tukio hilo linakwenda sambamba na maadhimisho ya miaka 62 ya Jamhuri yaRead More
Wajumbe wa mradi wa Building Stronger Universities awamu ya nne (BSU IV) wamefanya ziara maalum katika kampasi mbalimbali za Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kwa lengo la kukagua maendeleo ya miradi inayotekelezwa chini ya mpango huo, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuimarisha uwezo wa kitaaluma, utafiti na ubunifu chuoni hapo. Ziara hiyoRead More
THE STATE UNIVERSITY OF ZANZIBARP O BOX: 146, Zanzibar- TanzaniaPhone: +255 773333167Website: http://www.suza.ac.tzEmail: vc@suza.ac.tz CENSU Research and Education Program (Climate Change, Energy,Sustainability: Transformation and Governance) CALL FOR DRAFT MANUSCRIPTS The CENSU Research and Education Program at the State University of Zanzibar(SUZA) invites submissions of draft manuscripts for participation in astructured manuscript development and scientific writingRead More
Kwa niaba ya Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo , Maafisa wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) wamefanya mazungumzo na Kamisheni ya Kiswahili ya Afrika Mashariki katika ofisi za taasisi hiyo, zilizopo eneo la Maisara, Mjini Zanzibar, kwa lengo la kuimarisha ushirikiano wa kitaaluma. Katika kikao hicho, SUZA imekubali rasmi ombi na fursa iliyowasilishwaRead More