The State University Of Zanzibar

Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA), Prof. Hamed Rashid Hikmany amaesema SUZA itaendelea kuunga mkono na kuimarisha elimu jumuishi kwa watu wenye ulemavu ili kuhakikisha wanapata fursa sawa za elimu na kushiriki kikamilifu katika maendeleo ya jamii. Akizungumza na wanafunzi, walimu na wadau wa taasisi zinazoshughulikia watu wenye ulemavu katika
Read More