Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kwa kushirikiana na Kamisheni ya Utalii Zanzibar Ofisi ya Pemba, kimeendesha mafunzo ya Usalama na Usafi wa Chakula pamoja na Usalama na Maandalizi ya Dharura kwa wamiliki na wahudumu wa migahawa mbalimbali inayotoa huduma za chakula Kisiwani Pemba. Mafunzo hayo yalilenga kuongeza uelewa wa washiriki kuhusu umuhimu waRead More
Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA), kupitia Idara ya Mawasiliano na Mafunzo ya Habari, kimeendelea kuimarisha ushirikiano wa kimataifa katika kukuza taaluma ya habari baada ya wanafunzi wake kushiriki mafunzo maalumu yaliyotolewa na Taasisi ya Habari ya Kimataifa ya Russia Today (RT) katika Kampasi ya Kilimani. Akizungumza kuhusu mafunzo hayo, Kaimu Mkuu wa IdaraRead More