The State University Of Zanzibar

Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kimehimizwa kuendeleza utamaduni wa michezo kwa kuandaa matukio ya michezo angalau mara moja kila semista, hatua inayolenga kuimarisha afya, kuchangamsha akili na kuongeza ushirikiano miongoni mwa wafanyakazi na wanafunzi. Wito huo umetolewa na Kaimu Makamu Mkuu wa SUZA, Prof. Abdi Talib Abdalla, wakati akifungua tamasha la SUZA Sports
Read More