Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali itaendelea kuunga mkono juhudi za taasisi za kitaaluma za kimataifa zinazoonesha dhamira ya kushirikiana na Zanzibar kuijengea uwezo wa kielimu katika nyanja mbalimbali. Dk.Mwinyi ameyasema hayo leo tarehe 13 Sept 2024 alipokutana na Mkuu wa Chuo kikuu cha Imperial cha UingerezaRead More
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, Mhe. Leila Muhammed Mussa, amesemateknolojia ya kisasa itaongeza kasi ya upatikanaji wa elimu kwa watu wenye mahitaji maalum nchini. Hayo aliyasema katika ufunguzi wa semina ya siku tatu iliyoanza leo tarehe 09/09/20024 katika Kampasi ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) huko Maruhubi. Katika semina hiyo ya KuondoaRead More
Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar kinapenda kuutaarifu umma kuwa kimetoa orodha ya Majina ya waliochaguliwa kujiunga na masomo awamu ya kwanza kwa ngazi ya Cheti, Stashahada na Shahada ya Kwanza kwa mwaka wa masomo 2024/2025 kwa programu mbali mbali kama zinavyojionesha hapo chini. Chuo pia kinapenda kuwataarifu waombaji wote waliochaguliwa kuwa, wahakikishe wanaingia katikaRead More
Call for One PhD Scholarship position on marine coastal ecosystem restoration (seagrasses) using integrated approach under the Building Stronger Universities Project (BSU-IV) at The State University of Zanzibar Re-advertised Project Outline The Danish Ministry of Foreign Affairs has granted full support to the fourth phase of the BuildingStronger Universities project (BSU-IV) at the State UniversityRead More
Na Mwandishi Wetu, SUZA Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Taaluma ya Asia- Magharibi na Afrika ya China Prof. Wang Xiaoming amesema wanafurahia umashuhuri Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) kutokana na mipango yake madhubuti ya uendeshaji na uzalishaji wataalamu wa ndani na nje ya nchi. Akizungumza katika kikao cha pamoja kilichofanyika huko Tunguu, MkoaRead More
Serekali ya wanafunzi wa chuo kikuu cha taifa Zanzibar – (SUZASO) imeweza kutoa mafunzo ya ujasiriamali kwa wanafunzi wa chuo kutoka katika fani tofauti. Mafunzo ayo yataweza kuwasaidia wanafunzi hao katika kutatua changamoto mbali mbali katika jamii.Read More
Serekali ya wanafunzi wa chuo kikuu cha taifa Zanzibar – (SUZASO) wakishirikiana pamoja na The People’s Bank of Zanzibar – (PBZ) katika uandaaji na ugawaji wa tunzo kwa wanafunzi bora kwa mwaka 2024. Ugawaji huo ulifanyika katika kampasi ya Utalii ya SUZA iliyopo Maruhubi ZanzibarRead More
The President of Zanzibar and Chairman of the Revolutionary Council who is also theChancellor of the State University of Zanzibar (SUZA), Dr. Hussein Mwinyi has called on theSUZA community to focus more on research in order to bring about the development of thecountry. Dr. Mwinyi stated this during the inauguration ceremony of the Sheikh AbeidRead More