Skip to main content

The State University Of Zanzibar

Tunguu, Zanzibar | 28 Agosti 2026 Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kimeendelea kuimarisha uhusiano na wadau mbalimbali kwa lengo la kuongeza fursa za maendeleo kwa wanafunzi na wahitimu. Hatua hiyo imekuja kupitia mazungumzo kati ya uongozi wa SUZA na National Microfinance Bank (NMB), yaliyolenga kuimarisha na kupanua maeneo ya ushirikiano kati ya taasisi
Read More
SUZA NA MZUMBE ZAJADILI UTEKELEZAJI WA USHIRIKIANO WA KITAALUMA Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kupitia Makamu Mkuu wa Chuo, Prof. Said Ali Hamad Vuai, kimekutana na viongozi kutoka Chuo Kikuu cha Mzumbe (MU) kwa ajili ya kujadili na kuimarisha utekelezaji wa makubaliano ya ushirikiano wa kitaaluma baina ya taasisi hizo mbili. Kikao hicho
Read More
Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kupitia Kamati inayosimamia utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa dahalia za wanafunzi na mkahawa, kimefanya kikao cha 10 pamoja na Mkandarasi kutoka Kampuni ya M/S Emirates na Mshauri Elekezi kwa ajili ya kujadili maendeleo ya utekelezaji wa mradi huo. Kikao hicho kilifanyika tarehe 27 Septemba 2026 katika eneo
Read More