Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kimeendelea kuimarisha utamaduni wa utafiti na uzalishaji wa maarifa baada ya wanafunzi wa Shahada ya Uzamivu ya Kiswahili kufanikisha mitihani ya utetezi wa tasnifu zao. Utetezi huo umefanyika Agosti 24, 2026, kupitia Kurugenzi ya Masomo ya Uzamili, Utafiti na Ushauri Elekezi ya SUZA, ambapo wanafunzi wamepata fursa yaRead More