Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kimetoa shukrani kwa Kampuni ya Simu ya Mtandao wa Halotel kwa ufadhili wa Shilingi Milioni 26 uliowanufaisha wanafunzi 24 wa chuo hicho, katika zoezi la kutambua na kuthamini mchango wa kampuni hiyo katika kuwawezesha wanafunzi wenye uhitaji. Akizungumza katika hafla ya kutoa shukurani kwa kampuni hiyo Mkurugenzi waRead More
Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) – Taaluma, Utafiti na Ushauri Elekezi, Prof. Abdi Talib Abdalla, amesema SUZA imepata mafanikio makubwa katika utafiti, ubunifu, programu mpya za kitaaluma na utekelezaji wa miradi ya maendeleo. Prof. Abdi Talib aliyasema hayo wakati akizungumza na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia wa JamhuriRead More