The State University Of Zanzibar

Erasmus+ Programme The State University of Zanzibar (SUZA) is pleased to announce a call for applications for outgoing student mobility to European universities through the Erasmus+ KA171 program. This initiative offers students from non-associated partner universities the opportunity to complete a study stay at the University of Cádiz (UCA) during the first or second semester
Read More
Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kimeanza rasmi kampeni ya kutoa elimu na uhamasishaji kuhusu masuala ya kijinsia, huku Timu ya Dawati la Jinsia ikizindua ziara maalum inayolenga wanafunzi, wanataaluma na watumishi wa chuo . Ziara hiyo imeanza katika Skuli ya Kilimo Kizimbani, ambapo timu hiyo ilikutana na wanafunzi na kuwapatia elimu kuhusu kanuni,
Read More
Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kimepokea ziara ya wanafunzi kutoka Al-Uhda and Madrasa ya Kisauni Zanzibar, waliotembelea Kampasi ya Tunguu kwa lengo la kujifunza kwa vitendo katika nyanja za teknolojia na mawasiliano. Katika ziara hiyo, wanafunzi hao walipata fursa ya kujifunza na kushuhudia kwa karibu shughuli mbalimbali zinazofanyika katika Skuli ya Kompyuta na
Read More
Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kimesaini hati ya makubaliano ya ushirikiano wa kitaaluma na Chuo Kikuu cha Guru Kashi kutoka nchini India, ikiwa ni hatua muhimu katika kuimarisha ubora wa elimu ya juu na kupanua fursa za kitaaluma kimataifa.Lengo kuu la ushirikiano huo ni kuanzisha kozi ya pamoja ya Shahada ya Uzamili katika
Read More
‎‎Na Mwandishi wetu, SUZA. Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA), Prof. Abdi T. Abdalla, amefungua rasmi mafunzo ya wakuu wapya wa idara kutoka skuli mbalimbali za chuo hicho, yanayolenga kuwajengea uwezo wa kiutendaji na kiuongozi. Akizungumza katika hafla ya ufunguzi, amewataka wakuu hao wa idara kufanya kazi kwa ufanisi, wakizingatia
Read More
The BSU4 Annual Meeting serves as a key platform for strengthening collaboration, reviewing progress, and setting strategic priorities among partner institutions involved in the Building Stronger Universities (BSU) initiative. In the context of State University of Zanzibar, participation in the BSU4 Annual Meeting highlights the university’s active role in advancing academic excellence, research collaboration, and institutional capacity building. The meeting
Read More
The State University of Zanzibar (SUZA), in collaboration with Aarhus University and Roskilde University, is conducting the Zanzibar Circular Economy Workshop under the Building Stronger Universities Project IV (BSU IV) from 23rd to 27th March 2026 at the SUZA Institute of Tourism (IoT-SUZA). The workshop was officially launched by the Deputy Vice Chancellor (Planning, Finance and Administration), Prof. Salum Seif, who encouraged participants
Read More