The State University Of Zanzibar

Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar kinapenda kuutaarifu umma kuwa kimetoa orodha ya Majina ya waliochaguliwa kujiunga na masomo awamu ya kwanza kwa ngazi ya Cheti, Stashahada na Shahada ya Kwanza kwa mwaka wa masomo 2024/2025 kwa programu mbali mbali kama zinavyojionesha hapo chini. Chuo pia kinapenda kuwataarifu waombaji wote waliochaguliwa kuwa, wahakikishe wanaingia katika...
Read More
Project Description. The Revolutionary Government of Zanzibar through the United Republic of Tanzania and the Arab Bank for Economic Development in Africa (BADEA) have signed loan agreement to support the expansion of SUZA project. BADEA contribution is US$ 13.4million which are in the form of soft loan and the Revolutionary Government of Zanzibar will contribute...
Read More
Call for One PhD Scholarship position on marine coastal ecosystem restoration (seagrasses) using integrated approach under the Building Stronger Universities Project (BSU-IV) at The State University of Zanzibar Re-advertised Project Outline The Danish Ministry of Foreign Affairs has granted full support to the fourth phase of the BuildingStronger Universities project (BSU-IV) at the State University...
Read More
REQUEST FOR EXPRESSIONS OF INTEREST COUNTRY: TANZANIANAME OF PROJECT: EXPANSION OF THE STATE UNIVERSITY OF ZANZIBAR PROJECT Loan No: 0922 ASSIGNMENT TITLE: PROVISION OF CONSULTANCY SERVICES FOR DESIG N AND CONSTRUCTION SUPERVISION OF FACILITIES AT THE STATE UNIVERSITY OF ZANZIBAR MAIN CAMPUS, TUNGUU Reference No: SUZA/BADEA/CS.1/2023/24 The Government of United Republic of Tanzania represented by...
Read More
Previous Next Na Mwandishi Wetu, SUZA Naibu Mkurugenzi Mkuu wa  Taasisi ya Taaluma ya Asia- Magharibi na Afrika ya China Prof.  Wang Xiaoming amesema wanafurahia umashuhuri Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar  (SUZA)  kutokana na mipango yake madhubuti ya uendeshaji na uzalishaji wataalamu wa ndani na nje ya nchi. Akizungumza katika kikao cha pamoja kilichofanyika huko...
Read More
Previous Next Serekali ya wanafunzi wa chuo kikuu cha taifa Zanzibar – (SUZASO) imeweza kutoa mafunzo ya ujasiriamali kwa wanafunzi wa chuo kutoka katika fani tofauti. Mafunzo ayo yataweza kuwasaidia wanafunzi hao katika kutatua changamoto mbali mbali katika jamii.
Read More
Previous Next Serekali ya wanafunzi wa chuo kikuu cha taifa Zanzibar – (SUZASO) wakishirikiana pamoja na The People’s Bank of Zanzibar – (PBZ) katika uandaaji na ugawaji wa tunzo kwa wanafunzi bora kwa mwaka 2024. Ugawaji huo ulifanyika katika kampasi ya Utalii ya SUZA iliyopo Maruhubi Zanzibar
Read More
Previous Next The President of Zanzibar and Chairman of the Revolutionary Council who is also theChancellor of the State University of Zanzibar (SUZA), Dr. Hussein Mwinyi has called on theSUZA community to focus more on research in order to bring about the development of thecountry. Dr. Mwinyi stated this during the inauguration ceremony of the...
Read More
Previous Next Na Mwandishi Wetu, SUZA Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambaye pia ni Mkuu wa Chuo Kikuucha Taifa cha Zanzibar (SUZA), Mhe. Dk. Hussein Mwinyi ametoa wito kwa jamii ya SUZAkutilia mkazo zaidi katika masuala ya kufanya tafiti kwa ajili ya kuleta maendeleo ya nchi.Hayo aliyasema katika hafla ya uzinduzi...
Read More
Previous Next BSU4 Annual Meeting 2024 at Gulu University – Northern Uganda 4th – 6th June, 2024 The State University of Zanzibar (SUZA) actively participated in the recent Building Stronger Universities IV (BSU4) Annual Meeting held at Gulu University, Uganda (June 4th – 6th, 2024). This event marked the official launch of the program’s fourth...
Read More
1 2 3 4 5 6