The State University Of Zanzibar

Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kinaendelea kujivunia mafanikio ya wataalamu wake, ambapo mtangazaji wa kipindi cha β€œIfahamu Lugha Yako” kinachorushwa kupitia Radio Habari FM ya SUZA, ametunukiwa Tuzo ya Mtangazaji Chipukizi wa Vipindi vya Kiswahili Zanzibar. Tuzo hiyo imetolewa katika Kongamano la 5 la Idhaa za Kiswahili Duniani 2026 lililofanyika jijini Arusha, likiwakutanisha
Read More