Kaimu Makamu Mkuu Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar SUZA Prof Abdi Talib Abdlalla amefanya mazungumzo na ujumbe wa taasisi ya MashUbora ili kushirikiana katika kuimarisha utafiti wa kimatibabu kwa kanda ya Afrika Mashariki. Akizungumza na ujumbe huo ulioongozwa na Ndg. Sehlomola Mashatole ambaye ni Mwanzilishi na Mkurugenzi Mkuu wa taasisi hiyo na Dkt. Salma AbdiRead More
Ujumbe wa taasisi ya MashUbora umekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu Wizara ya Afya Zanzibar Dkt. Mngereza Mzee Miraji Ofisini kwake Mnazi Mmoja kwa lengo la kuanzisha ushirikiano na Wizara hiyo. Akitoa maelezo ya taasisi hiyo Mkurugenzi wa kanda ya Afrika Mashariki wa MashUbora ambaye pia ni Mkuu wa Skuli ya Afya na SayansiRead More