Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar (WEMA) imekikabidhi rasmi Chuo cha Maendeleo ya Utalii Zanzibar (ZIToD) kwa Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar (WUMK), hatua inayolenga kuimarisha sekta ya utalii nchini. Akizungumza katika hafla ya makabidhiano hayo, Kaimu Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale, Mhe. Mudrick Ramadhan Soraga, amesema uamuziRead More