Mratibu Mkuu wa Mradi wa Mageuzi ya Elimu ya Juu Kiuchumi (HEET) Dkt. Kennedy Hosea, amewahimiza wakandarasi wa ujenzi wa mradi huo kuongeza kasi ya ujenzi ili kukamilisha kazi yao kwa wakati uliopangwa. Alisema Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kiko karibu na wakandarasi kushirikiana nao kwa kila hali ili kutatua changamoto zinazotokea kamaRead More
Katibu Mtendaji wa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU), Prof. Charles Kihampa amewahimiza wakuu wa Skuli za Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kuwafundisha wanafunzi wao kwa vitendo ili wakiajiriwa watekeleze majukumu yao kwa ufanisi. Hayo aliyasema wakati akizungumza na Wakuu wa Skuli na Wakurugenzi wa SUZA kwenye kikao kilichofanyika kwenye ofisi za makaoRead More
THE STATE UNIVERSITY OF ZANZIBAR SCHOOL OF EDUCATION Terms of Reference (ToR) for External Evaluator – RADIC Project Final Evaluation RADIC Final Evaluation – Terms of Reference 1. Background The Rehabilitation for All through Digital Innovations and New Competences (RADIC) project aims to strengthen digital rehabilitation capacity and collaboration in East Africa. Through partnerships amongRead More
Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kimepokea ujumbe wa maofisa kutoka Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) tarehe 8 Januari 2026 katika makao makuu yake Tunguu, Mkoa wa Kusini Unguja. Ziara hiyo ni sehemu ya mfululizo wa mikutano ya TANAPA na wadau wake, sambamba na ushiriki wao katika maonesho ya biashara yanayoendelea Dimani, Mkoa waRead More