Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar, Prof. Abdi Talib, ameshiriki kwenye warsha ya kujenga uelewa wa pamoja juu ya Mkakati wa Kitaifa wa Matumizi ya Teknolojia ya Kidijiti katika Elimu (20/2025- 2029/2030) na kupata fursa ya kushiriki mjadala wa utekelezaji wa mkakati huu. Aidha, Dkt. Abdulrahim Ali, mmoja wa wataalamu waliotayarishaRead More
The State University of Zanzibar (SUZA) participated in the Dissemination Workshop for the National Digital Education Strategy (NDES) 2030 and its Implementation Guidelines, held on 14–15 January 2026 at Dr. Mafumiko Hall, GCLA, Dodoma, under the theme “Integration of Digital Technologies to Enhance Teaching and Learning.” SUZA was represented by the Deputy Vice Chancellor –Read More
Kaimu Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Taifa Cha Zanzibar (SUZA) Prof. Salum Seif Salum amesema SUZA imepata fursa ya kujiimarisha kitaaluma kupitia ushirikiano na Vyuo Vikuu vya Camerino cha Italia na Bremen cha Ujerumani. Hayo ameyasema kwenye mkutano na washirika hao ukiwashirikisha pia wakuu wa Skuli za SUZA na wanafunzi uliofanyika katika ukumbiRead More