Naibu Makamu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) anayeshughulikia Taaluma, Utafiti na Ushauri Elekezi, Prof. Abdi Talib Abdallah, amewataka wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kutumia rasilimali za Chuo kwa manufaa ya taasisi na taifa kwa ujumla badala ya kuzitumia kwa maslahi yao binafsi. Prof. Abdi Talib Abdallah alitoa witoRead More
Leo tarehe 15 Oktoba 2025, Naibu Makamu Mkuu wa Chuo anayeshughulikia Taaluma, Utafiti na Ushauri Elekezi, Prof. Abdi Talib Abdallah, alitembelea Skuli na taasisi mbalimbali ndani ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar – SUZA kwa lengo la kuzitembelea kampasi za Chuo na kukutana na Wakuu wa Skuli pamoja na Wakuu wa Idara. Ziara hiyoRead More