The State University Of Zanzibar

Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kimeahidi kuendeleza ushirikiano wa kitaaluma na Chuo Kikuu cha Global Health Equity (UGHE) cha Rwanda, kwa lengo la kuboresha huduma za afya na kuinua ubora wa elimu katika sekta hiyo kwa pande zote mbili. Naibu Makamu Mkuu wa Chuo anayeshughulikia Taaluma, Utafiti na Ushauri Elekezi, Prof. Abdi Talib
Read More