The State University Of Zanzibar

Katibu Mkuu Wizara ya Afya Zanzibar Dkt. Mngereza Mzee Miraji amesema Zanzibar inampango wa kujenga kituo cha kimataifa cha maradhi ya kansa kitakacho wezesha wagonjwa wa maradhi hayo kutibiwa hapa nchini. Akifungua mkutao wa Tano wa Jumuiya ya African Woman Health, Uliofannyika Tarehe 16/01/2026, Dkt. Mngereza Alisema kupitia mkutano huo wamejadili namna bora ya kutokomeza
Read More
Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kwa kushirikiana na wataalamu kutoka nyanja mbali mbali za Mtandao wa Vitu (internet of Things- IoT) wamejadiliana maeneo ya ushirikiano wa kitaaluma ili kuimarisha utafiti wa elimu ya fani kadhaa kwa pamoja hapa Zanzibar. Mkutano wa siku mbili ulijadili masuala ya kilimo,, ukusanyaji data, afya ya binadamu na
Read More