The State University Of Zanzibar

Erasmus+ Programme The State University of Zanzibar (SUZA) is pleased to announce a call for applications for outgoing student mobility to European universities through the Erasmus+ KA171 program. This initiative offers students from non-associated partner universities the opportunity to complete a study stay at the University of Cádiz (UCA) during the first or second semester
Read More
Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kimeanza rasmi kampeni ya kutoa elimu na uhamasishaji kuhusu masuala ya kijinsia, huku Timu ya Dawati la Jinsia ikizindua ziara maalum inayolenga wanafunzi, wanataaluma na watumishi wa chuo . Ziara hiyo imeanza katika Skuli ya Kilimo Kizimbani, ambapo timu hiyo ilikutana na wanafunzi na kuwapatia elimu kuhusu kanuni,
Read More
Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kimepokea ziara ya wanafunzi kutoka Al-Uhda and Madrasa ya Kisauni Zanzibar, waliotembelea Kampasi ya Tunguu kwa lengo la kujifunza kwa vitendo katika nyanja za teknolojia na mawasiliano. Katika ziara hiyo, wanafunzi hao walipata fursa ya kujifunza na kushuhudia kwa karibu shughuli mbalimbali zinazofanyika katika Skuli ya Kompyuta na
Read More
Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kimesaini hati ya makubaliano ya ushirikiano wa kitaaluma na Chuo Kikuu cha Guru Kashi kutoka nchini India, ikiwa ni hatua muhimu katika kuimarisha ubora wa elimu ya juu na kupanua fursa za kitaaluma kimataifa.Lengo kuu la ushirikiano huo ni kuanzisha kozi ya pamoja ya Shahada ya Uzamili katika
Read More
‎‎Na Mwandishi wetu, SUZA. Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA), Prof. Abdi T. Abdalla, amefungua rasmi mafunzo ya wakuu wapya wa idara kutoka skuli mbalimbali za chuo hicho, yanayolenga kuwajengea uwezo wa kiutendaji na kiuongozi. Akizungumza katika hafla ya ufunguzi, amewataka wakuu hao wa idara kufanya kazi kwa ufanisi, wakizingatia
Read More
Mwenyekiti wa Kigoda cha Sheikh Abeid Amani Karume katika Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA), Prof. Eginald Mihanjo, amesema falsafa na urithi wa waasisi wa Taifa la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Sheikh Abeid Amani Karume na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, ni nguzo muhimu katika kulijenga Taifa na kulifikisha kwenye hatua za maendeleo. Ameeleza
Read More
The Acting Vice Chancellor of The State University of Zanzibar (SUZA), Prof. Abdi T. Abdalla, participated in the 3rd China-Africa University Presidents Forum held in Jinhua, China, from 17th–19th April 2026 as part of the 70th Anniversary celebrations of Zhejiang Normal University. During the forum, Prof. Abdalla delivered a keynote speech titled “Advancing China-Africa Academic
Read More
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, ameweka jiwe la msingi wa majengo ya Maabara za Sayansi na Skuli ya Kilimo ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Tunguu, Mkoa wa Kusini Unguja ambapo tukio hilo linakwenda sambamba na maadhimisho ya miaka 62 ya Jamhuri ya
Read More
Wajumbe wa mradi wa Building Stronger Universities awamu ya nne (BSU IV) wamefanya ziara maalum katika kampasi mbalimbali za Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kwa lengo la kukagua maendeleo ya miradi inayotekelezwa chini ya mpango huo, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuimarisha uwezo wa kitaaluma, utafiti na ubunifu chuoni hapo. Ziara hiyo
Read More
The BSU4 Annual Meeting serves as a key platform for strengthening collaboration, reviewing progress, and setting strategic priorities among partner institutions involved in the Building Stronger Universities (BSU) initiative. In the context of State University of Zanzibar, participation in the BSU4 Annual Meeting highlights the university’s active role in advancing academic excellence, research collaboration, and institutional capacity building. The meeting
Read More
1 2