Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kimeanza rasmi kampeni ya kutoa elimu na uhamasishaji kuhusu masuala ya kijinsia, huku Timu ya Dawati la Jinsia ikizindua ziara maalum inayolenga wanafunzi, wanataaluma na watumishi wa chuo . Ziara hiyo imeanza katika Skuli ya Kilimo Kizimbani, ambapo timu hiyo ilikutana na wanafunzi na kuwapatia elimu kuhusu kanuni,Read More
Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kimepokea ziara ya wanafunzi kutoka Al-Uhda and Madrasa ya Kisauni Zanzibar, waliotembelea Kampasi ya Tunguu kwa lengo la kujifunza kwa vitendo katika nyanja za teknolojia na mawasiliano. Katika ziara hiyo, wanafunzi hao walipata fursa ya kujifunza na kushuhudia kwa karibu shughuli mbalimbali zinazofanyika katika Skuli ya Kompyuta naRead More
Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kimesaini hati ya makubaliano ya ushirikiano wa kitaaluma na Chuo Kikuu cha Guru Kashi kutoka nchini India, ikiwa ni hatua muhimu katika kuimarisha ubora wa elimu ya juu na kupanua fursa za kitaaluma kimataifa.Lengo kuu la ushirikiano huo ni kuanzisha kozi ya pamoja ya Shahada ya Uzamili katikaRead More
Na Mwandishi wetu, SUZA. Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA), Prof. Abdi T. Abdalla, amefungua rasmi mafunzo ya wakuu wapya wa idara kutoka skuli mbalimbali za chuo hicho, yanayolenga kuwajengea uwezo wa kiutendaji na kiuongozi. Akizungumza katika hafla ya ufunguzi, amewataka wakuu hao wa idara kufanya kazi kwa ufanisi, wakizingatiaRead More