Mwenyekiti wa Kigoda cha Sheikh Abeid Amani Karume katika Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA), Prof. Eginald Mihanjo, amesema falsafa na urithi wa waasisi wa Taifa la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Sheikh Abeid Amani Karume na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, ni nguzo muhimu katika kulijenga Taifa na kulifikisha kwenye hatua za maendeleo. AmeelezaRead More