Wajumbe wa mradi wa Building Stronger Universities awamu ya nne (BSU IV) wamefanya ziara maalum katika kampasi mbalimbali za Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kwa lengo la kukagua maendeleo ya miradi inayotekelezwa chini ya mpango huo, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuimarisha uwezo wa kitaaluma, utafiti na ubunifu chuoni hapo. Ziara hiyoRead More