The State University Of Zanzibar

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, ameweka jiwe la msingi wa majengo ya Maabara za Sayansi na Skuli ya Kilimo ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Tunguu, Mkoa wa Kusini Unguja ambapo tukio hilo linakwenda sambamba na maadhimisho ya miaka 62 ya Jamhuri ya
Read More